Eric Wainaina — Dunia Ina Mambo song lyrics and translation

The page contains the lyrics and English translation of the song "Dunia Ina Mambo" by Eric Wainaina.

Lyrics

Shetani akamwuliza Mtakatifu Petero
Umewahi kuangalia huko chini (aye aye)
Mtu maskini akiiba mkate
Atavalishwa pingu miaka minne (aye aye)
Lakini tajiri anayezorotesha
umaskini wa nchi nzima (mwajijua)
Anachekacheka na hakimu
Baadaye wapo wote pamoja mikahawani
Dunia ina mambo
Kweli ina mambo
Dunia ina mambo
Dunia ina mambo
Nyuma ya kila mlango
Dunia ina mambo
Shetani akamwuliza Mtakatifu Petero
Ni dini gani inayoendeleza chuki (mambo bado)
Kwa ajili ya bidii ya bin adam
Mimi sina kazi (mambo bado)
Warumi wachukia wakristo wengine
Wengine wachukia Waislamu (bure bilash)
Waislamu wachukia Wayahudi
Na nguvu zangu zote singeweza hayo yote
Dunia ina mambo
Kweli ina mambo
Dunia ina mambo
Dunia ina mambo
Vituko na vichekesho
Dunia ina mambo
Shetani akamwuliza Mtakatifu Petero
Ni kulala mnalala au vipi (hallo hallo)
Mnaruhusu viongozi wa nchi tajiri
Kumiliki nchi masikini (hallo hallo)
Kwa mfano wananchi wa nchi zilizokuwa chini ya ukoloni
Waliporwa mali zao au siyo (au siyo)
Basi mbona walionyanyaswa wasipande ndege
Na kwenda ng’ambo ili kurudisha haki zao
Dunia ina mambo
Kweli ina mambo
Dunia ina mambo
Dunia ina mambo
Mbele ya kila wazo
Dunia ina mambo
Dunia ina mambo
Kweli ina mambo
Dunia ina mambo
Dunia ina mambo
Mbele ya kila wazo
Dunia ina mambo
Dunia ina mambo
Kweli ina mambo
Dunia ina mambo
Dunia ina mambo
Vituko na vichekesho
Dunia ina mambo

Lyrics translation

Satan asked St Peter
Have you ever look down there (aye aye)
A poor man steals bread
He will be shackled four years (aye aye)
But the wealthy who is missing
nationwide poverty (you know yourself)
Laughs with the judge
Afterward they are all together in cafes
The world has things
The truth contains things
The world has things
The world has things
Behind every door
The world has things
Satan asked St Peter
What religion promotes hatred (still)
For the zeal of bin adam
I haven't worked (things yet)
Romans hate other Christians
Some hate Muslims (free bilash)
Muslims hate Jews
And all my strength I couldn't do it all
The world has things
The truth contains things
The world has things
The world has things
Jokes and comics
The world has things
Satan asked St Peter
How do you sleep or how (hallo hallo)
You allow the leaders of wealthy countries
Owning a poor land (hallo hallo)
For example citizens of countries under colonialism
Plundered their property or not (or not)
Why, then, should the victims not fly
And go abroad to restore their rights
The world has things
The truth contains things
The world has things
The world has things
In front of each idea
The world has things
The world has things
The truth contains things
The world has things
The world has things
In front of each idea
The world has things
The world has things
The truth contains things
The world has things
The world has things
Jokes and comics
The world has things