Akoth — Kenya Naipenda song lyrics and translation

The page contains the lyrics and English translation of the song "Kenya Naipenda" by Akoth.

Lyrics

Kenya naipenda nchi yangu,
Kenya najivunia nchi yangu,
Kenya nafurahia nchi yangu,
Kenya nashangilia nchi yangu,
Kenya naipenda nchi yangu
Kenya ina mali tele tele
Kenya nashangilia nchi yangu
Kenya yapendeza kweli kweli iii
Nashukuru mimii ni mkenya
Kenya ina mengi yafurahisha,
Milima mabonde wanyama wa porini,
Makabila arobaini na mawili,
Wakenya wanapendeza kote kote,
Wajaluo wakalenjini wakikuyu
Wamasaii waluhya na wakamba
Wamijikenda wameru waembu na wagusii
Nawengine wakenya wote wapendeza aaa
Najivunia kuwa mkenya
Wageni karibuni Kenya yetu,
Jambo sana Kenya hakuna matata,
Kuna vitu vingi vya kufurahisha,
Kuna mahali pengi pa kutembelea,
Nairobi Masaii Mara Amboseli
Aberdare Samburu Nakuru Naivasha
Mount Kenya Shimba Hills na Tsavo Park
Amboseli Mombasa Kisumu na Malindi iii
Nafurahia kuwa Mkenya
Our visitors welcome to Kenya,
Kenya is a very beautiful country,
Kenyans are very hospitable people,
Enjoy yourselves and have a good time,
Mungu ibarikii Kenya yetu,
Mungu mbarikii rahisi wetu,
Mungu wabariki viongozi wetu,
Mungu wabariki wakenya wote,
Mungu wabariki wageni wetu,
Mungu itawale Kenya yetu uuu

Lyrics translation

Kenya I love my country,
Kenya I take pride in my country,
Kenya I enjoy my country,
Kenya I rejoice in my country,
Kenya I love my country
Kenya has abundant wealth
Kenya I rejoice in my country
Kenya is truly beautiful iii
I appreciate I am a Kenyan
Kenya has much fun,
Mountains valleys wildlife,
Forty-two tribes,
Kenyans are fascinating all over the world,
Kalenjini Kikuyu nationalists
Maasaiians Luhya and Kamba
Govt to invest more than 100,000,000,000,000,000
All Kenyans are delightful aaa
I am proud to be a Kenyan
Visitors to our Latest Kenya,
The very thing Kenya no troublesome,
There is plenty of enjoyment,
There are many places to visit,
Nairobi Masaii Mara Amboseli
Aberdare Samburu Nakuru Naivasha
Mount Kenya Shimba Hills and Tsavo Park
Amboseli Mombasa Kisumu and Malindi iii
I enjoy being a Kenyan
Our visitors welcome to Kenya,
Kenya is a very beautiful country,
Kenyans are very hospitable people,
Enjoy yourself and have a good time,
God bless our Kenya,
God bless our simple,
God bless our leaders,
God bless all Kenyans,
God bless our guests,
God will rule our Kenya uuu